Friday, 19 December 2014

Dr Mandai akipokea shukrani kutoka kwa viongozi wa serikari

Dr Mandai akisikiliza kwa makini shukrani na baraka kutoka kwa mkuu wa Wilaya Ilala(Mh Raymond) pamoja na uongozi wa shule ya Mongo la ndege

Baada ya shughuri ya makabidhiano kuisha hapa Dr Mandai anaonekana akipewa shukrani kwa moyo wake mwema anaoendelea kuuonyesha katika kusaidia makundi mbalimbali ya kijamii yenye uhitaji wa matakwa mbalimbali na hapa ni katika shule ya msingi mongo la ndege ukonga Mombasa.

No comments:

Post a Comment