Thursday, 18 December 2014

KITUO CHA MANDAI HERBAL CLINIC


Karibuni ndugu zangu katika hospital ya kisasa yenye viwango vya kimataifa (MANDAI HERBAL CLINIC) iliyopo ukonga mongo la ndege na hii ni picha inayoonyesha upande wa mbele wa hospital hiyo(Front View),ni hospital inayotumia Tiba Mbadala kwa kutibu magonjwa mbalimbali ya kina Mama,Watoto,Kina baba,na Wazee


Mandai Herbal Clinic inatibu kwa miti dawa yaani matunda,mbogamboga,na mimea asili pia tuna vipimo vya kisasa vyenye uwezo wa kupima magonjwa mbalimbali yakiwemo
                                  Vidonda vya Tumbo
                                  Kuzibua mirija ya uzazi kwa kina mama bila upasuaji
                                  Waliopata na stroke (Paralysis)
                                  Tunatibu uvimbe bila ya kupasua(fybrod)
                                  Dawa za kuongeza Cd 4
                                  Pia tunatibu sukari
                                  Dawa za maumivu ya viungo
                                  Kupunguza unene
                                  Dawa za nguvu za kiume
                                  Fangasi kwa kina mama na kina baba
                                  Mgolo au bawasili (Emorody)
                                  U.T.I sugu
Ni vizuri ukafika katika kituo chetu sio rahisi sana kuyataja magonjwa yote,UNAKARIBISHWA na kama unataka kuwasiliana na sisi basi chukua namba hapo juu ili utupigie na tutakuelekeza jinsi ya kufika,ASANTE SANA                                  

No comments:

Post a Comment