Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 20 December 2014

MFANO WA MADAWATI YALIYOKABIDHIWA KWENYE SHULE YA MSINGI MONGO LA NDEGE UKONGA MOMBASA


Dr Mandai kushoto,Mh Raymond Mushi akiwa katikati na mwisho ni Mwl Mkuu Mr Omary wakiwa katika viwanja vya shule ya Msingi Mongo la ndege ukonga Mombasa wakati wa kukabidhi madawati yaliyotolewa na Mkurugenzi wa Mandai Herbal Clinic(Dr Mandai) na nyuma wakionekana wanafunzi na walimu wao wakiwa na furaha.

No comments:

Post a Comment