Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 30 January 2015

ALOVERA NI KIBOKO YA MAGONJWA MENGI LIKIWEMO TATIZO LA SARATANI
Ni mmea unaopatikana porini na unafanana sana na mmea wa katani na una miiba pembeni, lakini kuna aina nyingi ya mmea huu isipokuwa hapa tunazungumzia ile alovera ambayo ni chungu.

Mmea huu unasifika kwa kuwa tiba ya maradhi mbalimbali pamoja na uchungu wake, miongoni mwa magonjwa hayo ni pamoja na malaria, kuumwa na wadudu, baridi yabisi.

Mtaalam wa tiba asili kutoka Mandai Herbalist Clinic, Dk Abdallah Mandai anasema kwamba alovera pia huleta hamu ya kula na husaidia myeyusho wa chakula tumboni sambamba na kuwasaidia wale wenye matatizo ya shida ya haja ndogo (mkojo) kutoka kwa shida.

Magonjwa mengine ambayo huweza kutibika kwa kutumia alovera ni pamoja na shinikizo la damu la juu, saratani (cancer) bawasira, mkanda wa jeshi na kusaidia askari wa kulinda mwili.

Pamoja na hayo, mtaalam huyo anabainisha kuwa alovera pia husaidia kuongeza nguvu za kiume na kuwasaidia wale wenye shida ya kuvimba mwilini.

Hizo ni baadhi ya faida zinazotokana na alovera katika masuala ya tiba, lakini kama unasumbuliwa na magonjwa sugu ni vyema ukafanya utaratibu wa kufika Mandai Herbalist Clinic, kituo kilichopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam na utapata tiba ya magonjwa yako.

No comments:

Post a Comment