Monday, 5 January 2015

Hii ni baadhi ya mimea isiyoota au isiyopatikana Africa


Kutokana na hari ya hewa ya Africa tumejikuta kuwa kuna baadhi ya mimea haikubali kutaona na kustawi vizuri kama mmea huo unao onekana katika picha hivyo basi nimeshauriana na matabibu wenzangu ambao ni wamarekani kuwa tutaanzisha utaratibu maalum wa kubadilishana baadhi ya dawa ambazo hazipatikani
katika nchi husika hivyo basi Mandai Herbal Clinic itakua ina uwezo wa kutibu magonjwa mengi zaidi na kwa ufasaha zaidi kwani tutakua na dawa nyingi na za aina tofauti zenye uwezo mkubwa wa kupambana na maradhi.


No comments:

Post a Comment