Advertisement

Advertisement

Shop

Shop

Mixer

Mixer

Sunday, 25 January 2015

HII TIMU IKIONGOZWA NA DK MANDAI INAWEZA KUWA SULUHISHO LA MARADHI YAKO


Kama umekuwa ukisumbuliwa na maradhi mbalimbali  na umekuwa ukiwaza ni wapi unaweza kupata suluhu ya matatizo hayo fanya jitihada za kukutana na timu hii, ambayo inapatikana pale Mandai Herbalist Clinic kituo kilichopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam na hakika timu hiyo itakuhakikishia unapata nafuu ya matatizo yako ya kiafya.

No comments:

Post a Comment