Monday, 5 January 2015

MATUMIZI YA TIBA MBADALA NCHINI U .S. A


Habari za wakati huu ndugu zangu wa Tanzania.Napenda kuchukua fulsa hii kumshukuru mungu mwingi wa rehema kwa kuweza kutuvusha mwaka salama na pia kunifungulia mwaka nikiwa na afya njema iliyo nifanya niweze kusafiri kutoka TANZANIA mpaka U.S.A kwa nia njema kabisa ya kutaka kujifunza zaidi jinsi wenzetu wanavyo tumia tiba mbadala na pia kubadilishana uzoefu wa kazi yetu hii ya UTABIBU.
    Hakika nimeweza kutembelea vyuo tofauti na kupata mafunzo maalum(Crash Programme) ya jinsi ya kutibu magonjwa tofauti ya binadamu lakini pia hata mimi nimeweza kuonyesha ujuzi wangu katika fani hii kwa kuwafundisha pia baadhi ya vitu ambavyo hata wao walikua hawajui, hivyo basi kwa yale yote
niliojifunza U.S.A,sasa ninapenda kuwa ahidi ndugu zangu wa Tanzania kuwa pindi nitakaporudi nchini kwetu nitawahudumia kadri ya uwezo wangu na hakika MANDAI HERBAL CLINIC itakua ndio jibu na suluhu ya matatizo yako.kwa mawasiliano zaidi tupigie simu kwa namba zetu hapo juu..Asanteni sana.

No comments:

Post a Comment