Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 6 January 2015

NDANI YA SUPER MARKET U.S.A

Baada ya kutoka sehemu ambapo mimea ya Tiba mbadala inahifadhiwa sasa nimekuja kujione jinsi wenzetu Wamarekani wanavyo peleka dawa hizi kwa mtumiaji na hapa nipo katika moja ya super market kubwa kabisa U.S.A ambapo nimekuta dawa hizi zikiuzwa baada ya kusagwa na kuhifadhiwa kwa ustadi wa hari ya juu hivyo kumfanya mtumiaji asipate tabu ya kubeba lakini pia ina maelezo ya jinsi ya kutumia.
       Ndio kwaanza nimeingia humu ndani nakusihi endelea kunifuatilia ili ujua hatma hii lakini ningependa kukutia moyo kuwa kupitia Mandai Herbal Clinic sasa huduma hizi zote utazipata nchini kwetu(TANZANIA)

No comments:

Post a Comment