Saturday, 24 January 2015

RAIS KIKWETE ATANGAZA MABADILIKO YA BARAZA LA MAWAZIRI
Mabadiliko hayo yametangazwa kupitia Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue na orodha hiyo ya mawaziri walioteuliwa hii leo ni pamoja na hawa wafuatao.
MAWAZIRI
George Simachawene - Waziri wa Nishati na Madini

Mary Nagu - Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu

Christopher Chiza - Waziri Uwezeshaji na Uwekezaji

Harisson Mwakyembe - Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki

William Lukuvi  - Waziri wa Ardhi Nyumba na Makaazi

Steven Wasira  -  Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika

Samwel Sita - Waziri wa Uchukuzi

Jenista Muhagama -  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu na Bunge

MANAIBU WAZIRI
Stephen Masele -Naibu Waziri ofisi ya Makamu wa Rais Muungano

Angela Kariuki - Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Makaazi

Ummi Mwalimu- Naibu Waziri wa Katiba na Sheria

Anna Kilango - Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi

Charles Mwijage - Naibu Waziri wa Nishati na Madini

No comments:

Post a Comment