Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 1 January 2015

WISHING YOU A HAPPY NEW YEAR 2015.

Habari ya Alhamisi ndugu zangu,bila shaka mungu amewapa afya njema ya kuweza kuuona mwaka mpya wa 2015 na ikumbukwe kuwa sio mapenzi ya mtu binafsi ila ni mapenzi ya mwenyezi ,mungu kwani kila mtu alitamani kuiona siku hii ya leo lakini wengine ambao ni jamaa zetu,ndugu zetu, kaka zetu, kwa mapenzi ya mungu hawakuweza kufika siku ya leo.
     Mandai Herbal Clinic inapenda kuchukua fulsa hii kuwapa pole kwa wote waliopoteza ndugu zao lakini pia inawapongeza wale wote ambao tumefanikiwa kuuona mwaka huu wa 2015 na ilani yetu ni kwamba tuendelee kufanya kazi kwa bidii ili kila mtu aweze kufikia malengo aliojiwekea kwa mwaka 2015 bila ya kusahau uhakiki wa afya yako mara kwa mara ili kuhakikisha unakuwa mzima wakati wote na hatimaye kuweza kufanya kazi kwa nguvu zote.
    Mandai Herbal Clinic ipo kwa ajiri yako karibu upate matibabu na dawa zisizo na chemmicals (dawa za asili ya mimea) ili kukufanya usiwe na mabaki ya sumu mwilini.

WISHING YOU A HAPPY NEW YEAR 2015.

No comments:

Post a Comment