Tuesday, 6 January 2015

WOW ! ! ! ITS AMAZING

Wakati nikiendelea kutembea ndani ya hii super market nimegundua kuwa wenzetu wanapenda sana vitu ambavyo ni vya asili (Natural) kwa maana ya kua robo tatu ya hili duka ni vyakula vya asili na dawa za asili lakini tatizo la wenzetu wanapata huduma hizi kwa bei ghari sana ukilinganisha na Tanzania hivyo basi nawashauri ndugu zangu tujifunze kutumia kulinda afya zetu kwa kula na kutumia madawa ya asili ili tuepukane na madhara ambayo yanatupata bila mapenzi ya mungu
      Kuhusiana na jinsi ya kutibu magonjwa ya mwili wako sisi kama Mandai Herbal Clinic tumejiandaa vizuri ili kuhakikisha kuwa ifike wakati mgonjwa hatumii gharama nyingi kusafiri nje ya nchi.

No comments:

Post a Comment