Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 7 February 2015

DK MANDAI YUPO TAYARI KUKUJUZA UKWELI KUHUSU MABOGA KUPITIA TV YAKO
Maboga ni moja ya chakula kinacholiwa na watu wengi duniani na hata hapa nchini kwetu Tanzania, lakini ni wazi kuwa wengi hawajui uwezo wa maboga katika masuala ya tiba au kinga ya magonjwa mbalimbali pale linapotumika vizuri, hususani zile mbegu zake.


Hivyo ikiwa unapenda kufahamu ni namna gani maboga huweza kuwa tiba na yanatibu magonjwa gani, basi tumia nafasi yako ya kuamua kukutana na Dk Abdallah Mandai kupitia luninga yako katika kituo cha Star Tv siku ya Jumapili saa 1:30 usiku hadi saa 2:00. Tukutane pale kwa pamoja tudumisha tiba asili na Manda Herbalist Clinic.
Boga na mbegu zake
 

No comments:

Post a Comment