Alizeti ni zao ambalo hutumika hasa kwa kuchuja mafuta yake yanayotumika sana kwa kupikia, lakini pia zao hili hutumika kama tiba ya magonjwa mbalimbali.
Aidha Dk Mandai anasema kuwa, juisi ya mbegu zake mbichi
ni tiba ya mishipa ya fahamu, mapafu mafua na kifua.
Pia mtaalam huyo anasema kuwa alizeti pia huweza
kuimarisha misuli hasa kwa wazee. Sambamba na kusaidia watu wenye tatizo la
kuuma miguu.
Mbali na matatizo hayo, mtaalam huyo anafafanua kuwa
alizeti husaidia tatizo lakufunga choo, shinikizo la damu la juu na la chini,
saratani.
Hali kadhalika, alizeti pia husaidia kutibu malaria,
ambapo unapaswa kuchuma majani ya alizeti kilo 1, maji lita 2 na nusu kisha
chemsha na uloweke majani kwa dakika
kadhaa , kisha tumia nusu kikombe kutwa mara 3 kwa siku 5.
Unaweza
kufika Mandai Herbalist Clinic endapo unasumbuliwa na magonjwa yoyote
na hakika utapata tiba nzuri na sahihi na kupona kabisa shida
inayokusumbua. Kliniki ipo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.Au
piga simu namba, 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com
No comments:
Post a Comment