Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Sunday, 8 February 2015

FAHAMU NAMNA MABOGA YANAVYOWEZA KUTIBU MAGONJWA SUGU KWA KUUNGANA NA DK MANDAI LEO KUPITIA TV YAKOWatu wengi huwa tunakula vyakula vingi pamoja na matunda pasipo kujua umuhimu wake katika afya zetu, lakini tukizungumzia maboga ni moja ya chakula kinacholiwa na watu wengi duniani na hata hapa nchini kwetu Tanzania na ni tiba au kinga ya magonjwa mbalimbali pale linapotumika vizuri, hususani zile mbegu zake.
Lakini ni vizuri ukatenga muda wako Jumapili ya leo kwa kumtazama Dk Abdallah Mandai kutoka Mandai Herbalist Clinic kupitia Star TV kuanzia saa 1:30 hadi saa 2:00 kamili usiku huu na hapo utaweza kufahamu ni namna gani maboga huweza kuwa tiba na ni magonjwa yapi yanatibika kupitia maboga.Twende pamoja Mtanzania mwenzangu pamoja tudumisha tiba asili na Manda Herbalist Clinic.

No comments:

Post a Comment