Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 7 February 2015

HEBU FAHAMU MAAJABU YA DAWA HII IITWAYO 'MAMA ASILI' KATIKA KUTIBU MAGONJWA SUGU
'Mama Asili Plus B51' hii ni dawa ya asili yenye ubora wa hali ya juu, inayotengenezwa kutokana na miti shamba, hadi sasa imeshafanikiwa kutoa matokeo mazuri sana hususani  kwa matatizo ya kinamama, ikiwa ni pamoja na kuzibua mirija ya uzazi, kurekebisha hedhi na kuondo chango la aina yoyote.

Lakini pia dawa hii husaidia kuondoa sumu mwilini, huku ikiwa imejaa wingi wa vitamin C na A pamoja na ‘potassium’, ‘pectin’ na vilevile husaidia sana katika usagaji wa chakula mwilini.

Pamoja na hayo, huweza kusaidia kinamama wenye tatizo la kutokwa na majimaji yenye harufu mbaya sehemu za siri pamoja na kuondoa uvimbe katika kizazi na fangasi, huku ikimuacha mgonjwa akiwa amepona kabisa matatizo yake.
Amina Luman ambaye anapatikana katika Chumba cha Madawa kutoka Mandai Herbalist Clinic akielezea sifa za dawa ya 'Mama Asili Plus B51'
Mbali na hayo, ‘Mama Asili Plus B51’ itamfanya mtumiaji kutengeneza kinga za mwili pamoja na kumuacha akiwa mchangamfu wakati wote.

Dawa hii ya ‘Mama Asili Plus B51’ ni dawa ya miti shamba yenye mchanganyiko wa dawa za kiarabu. Mchanganyiko huo umechanganywa kitaalam na kuzingatia kanuni za afya ya binadamu na haina kemikali yoyote, kwani ni salama kwa matumizi ya binadamu.

Unaweza kuipata dawa hii endapo utafika Mandai Herbalist Clinic iliyoko Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam na ikawa suluhisho la magonjwa yako. Au unaweza kupiga simu namba 0717 961 795/ 0653 163 838 / 0754 391 743.

No comments:

Post a Comment