Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 13 February 2015

HIVI NDIVYO NAMNA BILINGANYA INAVYOWEZA KUWA TIBA KWAKO
Leo ni vizuri nikupe faida hizi za kutumia bilinganya pengine unaweza kuanza kuwa mtumiaji wa mboga hii ambayo ipo katika jamii ya matunda.


Moja ya faida za bilinganya linapopikwa kama mboga kwanza husaidia kutibu tatizo la vidonda vya tumbo na linasaidia kumpatia mtumiaji usingizi endepo anatatizo la kukosa usingizi, hivyo wale wenye shida ya kupata usingizi wanashauriwa kula bilinganya kwa wingi.

Pia bilinganya husaidia sana kupona magonjwa na kuleta afya nzuri ya mwili, lakini endapo unasumbuliwa na majipu basi unaweza kuponda bilinganya na kisha kuweka kwenye jipu litatibu.

Hali kadhalika, juisi yake pia husaidia kuondoa sumu mwilini kwa kuitoa kwa njia ya haja ndogo (mkojo).

Mbali na hayo, mizizi ya bilinganya inapochemshwa hutumika kama dawa ya minyoo.

 

KARIBU MANDAI HERBALIST CLINIC, UPATE TIBA SAHIHI NA MAKINI KWA KUTUMIA DAWA ASILI ZITOKANAZO NA MIMEA NA MATUNDA NA HAZINA KEMIKALI NA NI SALAMA KWA MATUMIZI YA BINADAMU. UNAWEZA KUWASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.TUPO UKONGA, MONGOLANDEGE JIJINI DAR ES SALAAM.

No comments:

Post a Comment