Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 5 February 2015

HIVI UNAJUA KUWA MTI WA MLONGE NI KIBOKO YA MAGONJWA SUGU? HEBU SIKILIZA REDIO UHURU SAA 4 KAMILI USIKU HUU HADI SAA 5 KAMILI DK MANDAI ATAKUWA LIVE
Kama haufahamu kuhusu mti huu na namna unavyoweza kutibu magonjwa mbalimbali, basi usipate tabu kikubwa ni kuhakikisha leo inapotimu majira ya Saa 4 kamili usiku hadi Saa 5 usiku fungua (tune) Redio Uhuru na hapo utakutana live na DK Abdallah Mandai kutoka Mandai Herbalist Clinic, ambaye atakuwa akikuelezea namna mti huo unavyoweza kuwa suluhisho la magonjwa sugu. Usikose tafadhali hii ni fursa yako ya kuujua undani na ukweli wa mti huo. Tukutane palee!! Watanzania.
 
Mlonge


No comments:

Post a Comment