Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 20 February 2015

JE UNAUJUA MTI WA MLINGOTI? UNGANA NA DK MANDAI KUPITIA REDIO YAKO LEO SAA 5:30 ASUBUHI HII ILI UFAHAMU TIBA ZAKE


Tumia nafasi hii ya kumsikiliza Dk Abdallah Mandai kutoka Mandai Herbalist Clinic akiwa live kupiti kipindi cha HATUA 3, kinachorushwa redio TIMES FM (100.5) Anza kumsikiliza daktari kuanzia saa  5:30 asubuhi hadi saa 6:00 kamili mchana, ambapo atazungumzia namna mti wa Mlingoti unavyoweza kutumika kama tiba ya magonjwa mbalimbali. Hii si elimu ya kukosa Mtanzania mwenzangu

Mti wa Mlingoti
 
Matawi ya Mti wa Mlingoti

Endapo unasumbuliwa na magonjwa sugu basi wasiliana na Mandai Herbalist Clinic kwa simu namba 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com.

No comments:

Post a Comment