Friday, 13 February 2015

KAMA HUWA UNASUMBULIWA NA MAUMIVI SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI WAKO BASI NI VIZURI UKASOMA HAPATatizo la kujihisi maumivu sehemu mbalimbali za mwili ni miongoni mwa matatizo ambayo huwakabili watu wengi na hii huchangiwa sana na shughuli za kutwa nzima au mazingira tuanayoishi kila siku katika maisha yetu.

Mjalala ni miongoni mwa dawa asili inayopatikana kupitia kituo cha Mandai Herbalist Clinic na ni ya kipekee katika kuondoa maumivu ya mwili.

Pia dawa hii husaidia kuondoa kisukari na kurekebisha 'insulin' pamoja na kurekebisha mfumo wa damu.
Mjalala pia inauwezo wa kuondoa sumu mwilini pamoja na kuongeza hamu ya kula na kukuacha ukiwa mchangamfu wakati wote.

KARIBU MANDAI HERBALIST CLINIC SASA UPATE TIBA SAHIHI NA MAKINI KWA KUTUMIA DAWA ASILI ZITOKANAZO NA MIMEA NA MATUNDA NA HAZINA KEMIKALI NA NI SALAMA KWA MATUMIZI YA BINADAMU. UNAWEZA KUWASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.TUPO UKONGA, MONGOLANDEGE JIJINI DAR ES SALAAM.

No comments:

Post a Comment