Wednesday, 11 February 2015

KAMA UMESUMBULIWA NA U.T.I KWA MUDA MREFU, DAWA NA MAELEZO NIMEKUWEKEA HAPA




Tatizo la maambukuzi ya njia ya mkojo (urinary tract infections) au kwa kifupi U.T.I  kama ilivyozoeleka ni miongoni mwa matatizo yanayowasumbua wengi kwa sasa.


Mbaya zaidi ugonjwa huu huweza kumpata mtu yeyote bila kujali jinsia au umri, ingwaje wanawake imekuwa ni rahisi zaidi kukubwa na tatizo hili kutokana na sababu za kibiologia.

Lakin Mandai Herbalist Clinic kwa kutambua ukubwa wa tatizo hilo imeona ikujulishe kuhusu dawa iitwayo ‘Kimondo’ yenye nguvu na uwezo mkubwa wa kukabiliana na matatizo mengi likiwemo hili la UTI.


Kimondo hii ni dawa yenye ubora wa hali ya juu na inatokana na imechanganywa kitaalam huku ikiwa na uwezo mkubwa wa kutibu magonjwa sugu likiwemo hili la U.T.I.

Matatizo mengine yanayoweza kutibika kwa dawa hii ni pamoja na uvimbe ndani ya kizazi yaani ‘fibroid’ pamoja na kusaidia kuongeza CD4 mwilini.
Hali kadhalika dawa hii husafisha tumbo na kutibu matatizo ya minyoo 

Unaweza kuipata dawa hii kutoka Mandai Herbalist Clinic, kituo kilichopo  Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam . Au wasiliana nasi kwa kupiga simu namba 0717 961 795/ 0653 163 838 / 0754 391 743.

No comments:

Post a Comment