Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 11 February 2015

KAMA UNAMATATIZO YA KIKOHOZI NI VIZURI UKAIJUA TIBA HII RAHISI KWAKO
Kikohozi kinaweza kusababishwa na kichocheo cha ndani ya koo, mabadiliko ya hewa au majira, kuziba kwa mifereji ya mapafu n.k


Mara zote unapokooa tambua kuwa lengo kuu hapo huwa ni kutoa chembechembe zisizohitajika katika njia ya kupitisha hewa, lakini kikohozi cha kawaida huweza kupona bila mhusika kutumia dawa ya aina yoyote.

Kitunguu swaumu ni moja ya kiungo kinachoweza kutumika kama dawa ya tatizo la kikohozi na kumsaidia mhusika kupona kabisa.

Matumizi ya kitunguu swaumu kama dawa ni pale ambapo utachukua punje sita za kitunguu swaumu, kisha changanya na nusu glasi ya maji ya moto na baada ya hapo utakuwa ukitumia kwa kunywa asubuhi na jioni kwa muda wa siku tatu.
Kitunguu swaumu na  punje zake.

Kimsingi kuna dawa nyingi asili ambazo zipo katika mazingira yetu ya kimaisha ya kila siku na zinauwezo mzuri sana wa kutibu tatizo hili la kikohozi, Miongoni mwa dawa hizo ni pamoja na zabibu, bizari, asali, tofaa (apple) hivyo endapo ukifanya jitihada za kufika Mandai Herbalist Clinic utapata nafasi ya kufahamu namna ya kuandaa vitu hivyo ili uweze kuanza kutumia kama dawa ya kikohozi, kituo kipo Ukonga Mongalandege jijini Dar es Salaam. Karibu

No comments:

Post a Comment