Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 14 February 2015

KOKWA LA EMBE HUWEZA KUSAIDIA KUTIBU UGONJWA WA BAWASIRIHuu ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ndani au nje ya njia ya haja kubwa wakati mwingine mishipa inaweza kupasuka na kuteleza kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa.


Chanzo kikubwa cha ugonjwa huu ni matatizo ya kufunga choo, kusimama au kukaa kwa muda mrefu, kazi ngumu, udhaifu wa misuri ya mwili, unene kuzidi kiasi na mengineyo.

Moja ya tiba ya ugonjwa huu ni mbegu ya embe (kokwa)  ambayo inapokaushwa kwenye kivuli na kusagwa hadi kuwa unga laini huweza kusaidi tatizo hili.

Mhusika atapaswa kuchukuwa nusu kijiko cha chai cha unga wa embe kisha kuweka maji nusu glasi na kuongeza asali kijiko kimoja cha chai kisha koroga na unywe.
Tiba hii inapaswa kufanyika asubuhi na jioni kwa muda wa siku saba na mgonjwa atajisikia vizuri.

Pia unaweza fika Mandai Herbalist Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. Au piga simu namba  0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443 

No comments:

Post a Comment