Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 16 February 2015

MATUMIZI YA MBOGAMBOGA NA MATUNDA HUSAIDIA KUKABILIANA NA TATIZO LA BARIDI YABISIBaridi yabisi ni mkusanyiko wa maradhi yanayotesa watu wengi katika siku hizi za hivi karibuni na maradhi haya ni makali kiasi kwamba humtesa mhusika na kumfanya kuwa mlemavuna hata kupelekea kifo wakati mwingine.


Baridi yabisi husababisha na uwepo wa sumu nyingi za tindikali mbaya mwilini (uric acid) na wakati mwingine ni maambukizo ya bacteria, virusi na hata matatizo ya kinasaba.

Hata, hivyo ugonjwa huu huweza kutibika endapo mhusika atawahi kupatiwa matibabu, lakini endapo atachelewa basi huweza kusababisha ulemavu kwa mhusika.
Mgonjwa wa baridi yabisi anatakiwa kuzingatia kunywa maji mengi angalau anywe kila siku lita 2 hadi 4 za maji safi na salama.

Pia mgonjwa anapaswa kuzingatia kula vyakula asili zaidi ambavyo ni pamoja na mboga za majani na matunda ya aina mbalimbali hasa yale yasiyo na sukari, hali kadhalika matumizi ya soya na kufanya mazoezi  ya viungo ni muhimu sana kwa mgonjwa.

Ikiwa unatatizo hili tayari unaweza ukawahi kwenda hospitali au fika Mandai Herbalist Clinic kituo kilichopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. Au kwa simu namba, 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Pia tunapenda kukukaribisha kutangaza nasi kupitia tovuti hii  kwa gharama nafuu.


No comments:

Post a Comment