Thursday, 19 February 2015

MSIKILIZE DK MANDAI ALHAMISI HII KUPITIA REDIO YAKO


Ungana na Dk Abdallah Mandai, leo Alhamis saa 4 kamili usiku hadi saa 5 kamili kupitia redio UHURU FM atakuwa akizungumzia Mti wa mlingoti jinsi unavyoweza kutumika kama tiba na utapata nafasi ya kuuliza maswali yako moja kwa moja kwa njia ya simu na ujumbe mfupi. Hii si yakukosa ni muhimu sana kwako hakikisha haupitwi mwambie na mwenzio pia.
Huu ndio mti wa mlingoti


Majani ya mti wa mlingoti
  Endapo unasumbuliwa na magonjwa sugu basi wasiliana na Mandai Herbalist Clinic kwa simu namba 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com.

No comments:

Post a Comment