Monday, 9 February 2015

NIMEKUWEKEA HAPA DAWA YA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME PAMOJA NA MAELEZO YAKE
Tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume au kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa ni miongoni mwa matatizo yanayowakabili wanaume wengi kwa sasa hapa nchini, hivyo kwa kulitambua hilo Mandai Herbalist Clinic imeandaa dawa maalum kwa ajili ya kukabiliana na matatizo hayo na kuyamaliza kabisa.


Dawa hiyo inaitwa ‘Quwati Plus 1’ hii ni dawa ya nguvu za kiume na yenye uwezo mzuri na mkubwa wa kutibu na kuondoa chembe chembe za sumu mwilini zinazoshambulia chembe chembe hai.

Dawa hii ni ya asili na inauwezowa kuongeza hamu ya tendo la ndoa, kurutubisha manii hata kwa wale wasiojiweza kabiasa na wale wanaoshindwa hata kutoa manii wakati wa tendo la ndoa.

Quwati Plus 1 pia huongeza nguvu katika kifuko kinachozalisha kimiminika ambacho husafisha manii ya mwanaume, lakini pia dawa hii ina vitamin aina sita ikiwemo vitamin E.
Hii ndio 'Quwati Plus 1' ambayo itaweza kulinda mahusiano yako katika ndoa
Mbali na hayo, dawa hii pia husafisha uchafu wa ndani ya mwili kutokana na uwezo wake wa kupenya ndani ya ‘tissue’ za mwili na huongeza nguvu na kuondoa maumivu ya aina mbalimbali yakiwemo ya tumbo, mgongo, kiuno, huku ikimsaidia mhusika kumlinda dhidi ya magonjwa nyemelezi.

Quwati Plus 1 inatengenezwa na Mandai Herbalist Clinic  kwa kutumia mchanganyiko wa dawa asili na haina kemikali, hivyo haina madhara yoyote kwa binadamu na ipo katika mfumo wa unga, maji na vidonge.

Unaweza kuipata dawa hii endapo utafika Mandai Herbalist Clinic iliyoko Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam na ikawa suluhisho la tatizo lako. Au unaweza kupiga simu namba 0717 961 795/ 0653 163 838 / 0754 391 743.

1 comment: