Advertisement

Advertisement

Shop

Shop

Mixer

Mixer

Tuesday, 10 February 2015

NIMEKUWEKEA HAPA MAELEZO PAMOJA NA DAWA ITAKAYOKUOKOA DHIDI YA TATIZO LA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo ni tatizo ambalo linawakabili watu wengi, na limekuwa changamoto sana kwa wale wanaokabiliwa na tatizo hilo, tatizo hili huchangiwa na mambo kadha wa kadha, lakini kubwa ni hili la mpangilio wa vyakula tunavyokula pamoja na uzingatiaji wa muda.


Kutokana na hali hiyo na kutambua kuwa Watanzani wengi wanateseka na tatizo hili kwa muda mrefu, hivyo leo ninayo furaha kukufahamisha kuhusu dawa hii iitwayo ‘Likolo Plus B52’ inayopatikana Mandai Herbalist Clinic.

Likolo Plus B52, hii ni dawa ya asili yenye uwezo mkubwa, ambayo tayari imeonesha mafanikio makubwa katika kutibu vidonda vya tumbo na inaweza pia kutokomeza uvimbe wa ndani ya tumbo.

Dawa hii pia inauwezo wa kusafisha kibofu cha mkojo, kutoa gesi tumboni na kusaidia kuzuia tatizo la tumbo kuunguruma na kuwaka moto.

Matatizo mengine ambayo huweza kupata utatuzi kupitia dawa hii ya Likolo Pluss52, ni pamoja na kuondoa kiungulia kutoa mafuta mabaya mwilini (cholesterol) pamoja na minyoo.
Hii ndiyo Likolo Plus B52 na imethibitishwa na Mkemia Mkuu

Pia dawa hii imesheheni vitamin C na A, ‘potassium’ na ‘pactin,’ huku ikiwa msaada mkubwa katika kusafisha usafi wa chakula.

Dawa hii ya ‘Likolo Plus B 52’ imetengenezwa kwa mchanganyiko wa dawa asili na inapatikana katika mfumo wa unga na vidonge  na haina madhara yoyote kwa matumizi ya binadamu.

Unaweza kuipata dawa hii kutoka Mandai Herbalist Clinic, kituo kilichopo  Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam . Au wasiliana nasi kwa kupiga simu namba 0717 961 795/ 0653 163 838 / 0754 391 743.

No comments:

Post a Comment