Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 27 February 2015

PATA NAFASI YA KUFAHAMU MAAJABU YA FENESI KATIKA TIBA KWA KUMSIKILIZA DK MANDAI KUPITIA REDIO YAKO LEO

Tumia nafasi yako ya kumsikiliza Dk Abdallah Mandai kutoka Mandai Herbal Clinic akielezea namna tunda la fenesi linavyoweza kutumika kama tiba ya magonjwa mbalimbali. Unachopaswa kufanya ni kufungulia Redio Times Fm (100.5) kupitia kipindi cha Hatua 3, kuanzia saa 5:30 asubuhi hadi saa 6:00 kamili Ijumaa hii.

Kipande cha fenesi

Mti wa mfenesi na matunda yake
Ikiwa unasumbuliwa na magonjwa sugu unaweza kufika Mandai Herbal Clinic iliyopo, Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam au unaweza kuwasiliana na Dk Mandai kupitia namba za simu zifuatazo, 0758 163 818, 0672 060 006, Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment