Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 12 February 2015

PATA NAFASI YA KUONA MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA KUTOKA MANDAI HERBALIST CLINIC


Mmoja wa wagonjwa akiwa Mandai Herbalist Clinic katika utoaji wa sumu mwilini zinazotokana na vyakula mbalimbali tunavyokula kila siku.
Mgonjwa akimuuliza maswali mtaalamu wa kitengo cha detox kutoka Mandai Herbalist Clinic mara baada ya kumaliza kutoa sumu mwilini
Mtaalam wa kitengo cha detox kutoka Mandai Herbalist Clinic akimfahamisha mgonjwa kuhusu tiba aliyoipata ya kutoa sumu mwilini
Mgonjwa huyo baada ya kutoa sumu aliingia katika chumba maalum cha kufanyiwa 'physiotherapy' (massage) ili kurekebisha viungo vilivyokuwa vikimletea maumivu.
Mgonjwa huyo akiendelea kufanyiwa massage sehemu mbalimbali za mwili wake ili kuondoa kabisa matatizo ya maumivu katika viungo vyake.
Hii ni moja ya sehemu za dawa zinazopatikana kutoka Mandai Herbalist Clinic
KARIBU MANDAI HERBALIST CLINIC SASA NA WEWE UPATE TIBA SAHIHI NA MAKINI KWA KUTUMIA DAWA ASILI ZITOKANAZO NA MIMEA NA MATUNDA NA HAZINA KEMIKALI NA NI SALAMA KWA MATUMIZI YA BINADAMU. UNAWEZA KUWASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.TUPO UKONGA, MONGOLANDEGE JIJINI DAR ES SALAAM.

No comments:

Post a Comment