Saturday, 21 February 2015

TATIZO LA KUWASHWA MWILI NA TIBA YAKE
Kuwashwa sehemu yoyote ya mwili inaweza kuwa ni matokeo ya tatizo fulani lililoko mwilini,kama vile mzio (allergy) minyoo.


Kwahiyo mwili unapowasha kunaweza kuwa ni dalili za ugonjwa unaohitaji kuchunguzwa na kutibiwa  badala ya kutafuta kutibu dalili za ugonjwa.

Pamoja na hayo, kuna baadhi ya tiba za kukabiliana na tatizo hilo, ambazo ni pamoja na soya, ndimu, komamanga , unga wa ngano pamoja na majani ya ngano, lakini katika tiba zote hizo leo hii tutaelezea hii tiba ya kutumia  unga wa ngano ambayo pengine inaweza kuwa ni rahisi kwa wengi.

Unachopaswa kufanya katika kutumia unga wa ngano kama tiba ni kupaka unga wa ngano sehemu zote za mwili zinazowasha na hakikisha unatumia tiba hii kwa muda wa siku 10.

Iwapo bado tatizo linaendelea baada ya kutumia tiba hiyo basi jaribu tiba ya aina nyingine. Au fika Mandai Hebal Clinic, Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.

Endapo unasumbuliwa na magonjwa sugu basi wasiliana na Mandai Herbal Clinic kwa simu namba 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com. 

1 comment: