Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 14 February 2015

TUMIA KITUNGUU SWAUMU NA ASALI KAMA NAMNA YA KUKUONDOSHEA KICHOMI
Mara nyingi watu wengi hulalamika sana kusumbuliwa na tatizo la kkichomi, kichomi husababishwa na hitilafu katika mapafu na chanzo cha hitilifa hizo huweza kuwa mashambulizi ya vijidudu mfano ‘steptococcus‘preumococcus’ na ‘staphylococcus’ mashambulizi ya virusi, matatizo ya ukungu, matatizo ya minyoo, kuvuta hewa yenye sumu.

Mara nyingi matokeo ya matatizo haya huwa ni homa kali, maumivu makali kifuani, kupumua kwa shida, wakati mwingine ikifuatiwa na kikohozi chenye makohozi.
Moja ya tiba nzuri za kkichomi ni pamoja na kitunguu swaumu, karoti, spinachi na tango.

Unapotumia kitunguu swaumu unapaswa kuponda punje kumi za kitunguu swaumu hadi ziwe katika hali ya uji uji na baada ya hapo ongeza maziwa robo glasi na asali kijiko kimoja cha mezani kisha changanya vizuri na mpe mgonjwa anywe.

Baada ya hapo paka kitunguu swaumu katika sehemu za kifua zenye maumivu , kisha endeleza tiba hii asubuhi na jioni kwa muda wa siku saba.

Endelea kufuatilia tovuti hii ili kufahamu tiba zaidi zitokanazo na mimea na matunda, lakini pia unaweza kufika ofisini kwetu Mandai Herbalist Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. Au piga simu namba Pia unaweza fika Mandai Herbalist Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. Au piga simu namba 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443

No comments:

Post a Comment