Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 19 February 2015

TUMIA NAFASI HII KUUFAHAMU MTI HUU UITWAO AMLA NA UJUE TIBA ZAKE
Amla huu ni mmea maarufu sana katika nchi za India, Himalaya na Uchina, mmea huu si mrefu sana ni mti wa kawaida kwa ufupi.


Matunda ya mti huu yana asili ya limao kwa uchachu wake, pia matunda ya mti huu huaminika kuwa ni tiba hasa pale juisi yake inapotumika.

Miongoni mwa tiba zinazotokana na mmea huu ni pamoja na kutoa gesi tumboni, maumivu ya tumbo, kushusha homa, kukomesha kutapika, mavilia au shida za ini.

Pia husaidia wale wenye shida ya kufunga choo, magonjwa ya ngozi, ukoma, bwasiri maumivu wakati wa kukojoa na upungufu wa damu.

Hali kadhalika, mmea huu wa amla unaelezwa kusaidia shida ya moyo, athma yaani pumu, kutokwa na uchafu mweupe ukeni, mapafu pamoja na matatizo ya magonjwa ya macho.

Anza sasa kutangaza nasi kwa gharama nafuu sana na ujionee mafanikio katika biashara yako. Wasiliana nasi kwa simu namba 0758  163 818, 0672 060 006 Au barua pepe; dkmandaitz@gmail.com. Karibu sana.

No comments:

Post a Comment