Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 12 February 2015

UNGANA NA DK MANDAI LEO USIKU KUPITIA REDIO YAKO NA ATAKUWA AKIZUNGUMZIA KUHUSU TUNDA LA STAFELI JINSI LINAVYOTIBU MAGONJWA MBALIMBALI


Hii ni fursa nyingine tena ya wewe kuweza kumsikiliza Dk Abdallah Mandai kutoka Mandai Herbalist Clinic akielezea namna ya kutumia tunda liitwalo stafeli na ni jinsi gani linaweza kuwa msaada kwako katika kupambana na magonjwa na hata kutibu pia.

  
Unachopaswa kufanya hakikisha inapofika saa 4 kamili usiku huu wa Alhamis hadi saa 5 kamili unafungulia Redio Uhuru Fm na hapo utamsikia akiwa live akielezea tunda hilo, lakini jambo zuri na la msingi pia ni pale wewe Mtanzania mwenzangu ambapo utapata nafasi ya kumuuliza maswali kupitia simu yako ya mkononi na Dk Mandai atakuwa akiyajibu maswali yako.Haya sasa Watanzania kwa pamoja tudumishe tiba asilia.
Tunda la stafeli likiwa mtini
  Fika Mandai Herbalist Clinic ikiwa unasumbuliwa na magonjwa mbalimbali na utapata ufumbuzi wa shida yako, Kliniki yetu ipo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. Au wasiliana nasi kwa simu namba 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.

No comments:

Post a Comment