Sunday, 22 February 2015

USIKOSE KUTAZAMA TV YAKO JUMAPILI HII NA UTAKUTANA NA DK MANDAI AKIZUNGUMZIA MAMBO MUHIMU YA KIAFYATumia nafasi yako Jumapili hii kuanzia saa 1:30 jioni hadi saa 2:00 usiku kumtazama Dk Abdllah Mandai kupitia Star Tv. 

Dk Mandai atakuwa akizungumzia masuala muhimu yanayohusu afya pamoja na tiba zake, hakikisha hupitwi na kipindi hiki ili ujifunze mambo mengi mazuri hususani kuhusu maboga yanavyoweza kuwa tiba ya magonjwa mbalimbali. Usikosee!


Endapo unasumbuliwa na magonjwa sugu basi wasiliana na Mandai Herbal Clinic kwa simu namba 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com. 


No comments:

Post a Comment