Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 6 February 2015

USIPITWE NA FURSA HII NYINGINE YA KUENDELEA KUMSIKIA DK MANDAI AKIZUNGUMZIA UNDANI WA MTI WA MLONGE KATIKA TIBA
Hii ni fursa nyingine tena ya sikio lako kutolala na njaa maana itakapofika saa 5 na nusu Asubuhi hii hadi saa 6 kamili mchana kupitia TIMES FM (100.5) ndani ya kipindi cha 'Hatua 3'.
Hapo utamsikiliza mtaalam wa tiba asili, Dk Abdallah Mandai kutoka Mandai Herbalist Clinic, ambapo atakuwa live akikujuza umuhimu na faida za kutumia mti wa mlonge katika masuala ya tiba mbalimbali. Twende sawa pale tuendelee kudumisha tiba asilia.
Huu ndio mti wa Mlonge / Moringa


No comments:

Post a Comment