Tuesday, 17 February 2015

VIAZI MVIRINGO VINAPOTUMIKA VIZURI HUWEZA KUWA DAWA YA MATATIZO YA NGOZI


Mara nyingi tumekuwa tukitumia viazi mviringo kama chakula ambacho huweza kupikwa au kutengenezwa kwa namna mbalimbali kutokana na uhitaji wa mhusika.


Mtaalam wa tiba asili Dk Abdallah Mandai anabainisha kuwa, viazi vikipondwa na kubandikwa juu ya tatizo lolote la ngozi au bawasira huwa tiba nzuri sana.

Aidha, juisi ya kiazi kilichopondwa ni nzuri sana kwa matatizo kama baridi yabisi, vidonda vya tumbo, asidi ya tumboni.

Pia viazi hivyo, husaidia kwa wale wenye matatizo ya jongo (gout)  na huondoa sumu mwilini (antidote, acidosis), huku kiazi cha kijani sana kikiwa na chembe chembe fulani za sumu zijulikanazo kama vile 'solanine’inayoathiri sehemu ya via vya uzazi.

Hali kadhalika, kiazi pia ni ‘tonic’ nzuri sana ya ngozi, kinachotakiwa kufanyika katika hili ni kunawia juisi yake na machicha yake utayabandika kila mahali juu ya ngozi na itasaidia kuondoa makunyanzi yote ya uzee pamoja na kulainisha ngozi. 

Unaweza kufika Mandai Herbalist Clinic endapo unasumbuliwa na magonjwa yoyote na hakika utapata tiba nzuri na sahihi na kupona kabisa shida inayokusumbua. Kliniki ipo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.Au piga simu namba, 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com 


No comments:

Post a Comment