Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 4 March 2015

DAWA YA KUTIBU MAUMIVU YA MARA KWA MARA IPO HAPA

Madondo ni dawa asili iliyotengenezwa kwa mchanganyiko  maalum na inapatikana kutoka Mandai Herbal Clinic pekee.

Dawa hii ya asili inauwezo wa kutibu na kuondoa maumivu mwilini, ganzi ya miguu na maumivu ya miguu pamoja na miguu kuwaka moto.

Matatizo mengine ambayo huweza kutatuliwa na dawa hii na kuondoa kelele mwilini pamoja na matatizo ya mgongo na kifua
 
Hii ndio dawa ya madondo
Pia madondo ina uwezo wa kuongeza madini ya calcium kwa asilimia mia moja ambayo madini hayo ni muhimu sana mwilini

Mbali na hayo dawa hii pia huwasaidia watoto wenye tatizo la ulegevu wa viungo na kuwafanya kuwa na viungo imara na vyenye afya tele.

Sambamba na hayo daw hii pia inasaidia ubongo kufanya kazi vizuri na kurudisha kumbukumbu, huku ikimsaidia mhusika kumpa hamu ya kula na kumfanya awe mchangamfu wakati wote 

Endapo unasumbuliwa na matatizo yalio tajwa hapo juu unaweza kufika Mandai Herbal clinic kituo kilichopo ukonga  mong la ndege jijini Dar es Salam  au unaweza kupiga simu namba  0758 163 818, 0672 060 006, Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment