Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 3 March 2015

FAHAMU NAMNA MBEGU ZA TIKITI MAJI ZINAVYOWEZA KUWA TIBATikiti maji ni tunda lenye maji mengi tena matamu na ni tunda ambao lipo katika jamii ya maboga, lakini pia tunda hili linapotumika vizuri huweza kuwa tiba.


Tikiti maji limekuwa likisifika kuwa ni tunda ambalo ni tiba ya magonjwa mbalimbali lakini, huenda hii ya kuweza kumpatia ahueni mgonjwa wa kifua kikuu labda hujawahi kuisikia.

Hivyo Mandai Herbal Clinic inakufahamisha namna mbegu za tikiti maji zinavyoweza kumpatia ahueni mgonjwa wa kifua kikuu hii ni pale zinapokaangwa na kusagwa kisha mgonjwa kutumia vijiko viwili kutwa mara tatu yaani asubuhi mchana na jioni.

Mbali na uwezo wake huo pia ulaji wa tunda hili humsaidia mlaji kumlinda dhidi ya magonjwa kama tumbo, maumivu ya viungo, baridi yabisi, magonjwa ya kinywa na koo, matatizo ya figo na kuzuia tatizo la usagaji wa chakula.

Ikiwa unasumbuliwa na magonjwa sugu unaweza kukutana na Dk Abdallah Mandai sasa na ukapata ufumbuzi wa matatizo yako, kliniki ipo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam na inaitwa Mandai Herbal Clinic au unaweza kupiga simu namba  0758 163 818, 0672 060 006, Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment