Thursday, 19 March 2015

HAKIKISHA ALHAMISI HII HUKOSI KUMSIKILIZA DK MANDAI KUPITIA REDIO UHURU KUANZIA SAA 4 USIKU HADI SAA 5 USIKU ANAMENGI KWAAJILI YAKO KUHUSU TIBA


Hii ni nafasi yako nyingine ya pekee ya wewe  kujua mambo mengi yanayohusu afya yako na tiba asilia kwa ujumla kupitia kwa Dk Abdallah Mandai ndani ya  Redio Uhuru Fm kuanzia saa 4 kamili usiku huu hadi saa 5 kamili usiku wa Alhamisi hii. USIKOSEE!! KWA PAMOJA TUNADUMISHA TIBA ASILIA NA MANDAI HERBAL CLINIC.

Pia unaweza kuwa karibu nasi kwa kulike ukura wetu wa facebook uitwao Mandai Herbalist Clinic- mhc  na utapata nafasi ya kufikiwa na kila kitu kinachohusu afya hususani mimea tiba kwa ujumla, fanya hivyo sasa. Au wasiliana na Dk Mandai kwa namba zifuatazo endapo unatatizo la kiafya namba ni 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com.

No comments:

Post a Comment