Advertisement

Advertisement

Shop

Shop

Mixer

Mixer

Wednesday, 18 March 2015

HAYA NDIYO MADHARA HATARI ANAYOWEZA KUYAPATA MWANAUME ANAYEJICHUA 'MASTERBATION' (PUNYETO)
Kujichua au ‘masterbation’  ni ile hali ya mwanaume kujichua sehemu zake za siri (uume) kwa kutumia mkono hadi manii yanapotoka, baadhi ya wanaume hufanya hivi kwa lengo la kupunguza hisia zilizo tokana na hamu ya kushiriki tendo la ndoa.


Madhara ambayo huweza kuyapata mtu ambaye anatabia ya kujichua ni pamoja na upungufu wa nguvu za kiume, hii ni kwa sababu mtu anapojichua huumiza misuli ya uume  na hivyo kupelekea kusinyaa kwa mishipa ya damu na kushindwa kufanya kazi vizuri.

Pia mmhusika huweza kupata tatizo la mishipa ya fahamu (nerves) kutofanya kazi vizuri, ambapo kunapelekea kushindwa kusimamisha kwa uume vizuri, au uume kusimama ukiwa legelege na mara nyingine huchangia mwanaume kufika kileleni mapema na kushindwa kururdia tendo la ndoa baada kumaliza (kufika kileleni).

Tabia hii ya kujichua pia huchangia mhusika kujihisi mchovu na mda mwingi mwili unakuwa dhaifu, lakini hali hiyo huchangiwa na uzalishaji mwingi ‘endophine’ ambayo inafanya kazi kama  ‘sadative effect’  au dawa ya usingizi ambayo inapelekea misuli ya mwili kusinyaa mda wote.

Pamoja na madhara hayo pia mhusika huweza kuwa na tatizo la kupoteza kumbukumbu au kutokua na uwezo wa kutunza kumbukumbu, hii ni kwa sababu ya kutolewaji wa mara kwa mara na kiasi kikubwa cha ‘dopamine,’ ‘selotin,’ ‘melatonin ‘,ambazo zinafanya kazi mbalimbali pamoja na kusaidia kuendesha mifumo ya ubongo au Symphetic Neurosystem  ambao ni mfumo wa ubongo unaofanya kazi ya mwili ukiwa umetulia  na kwa utaratibu. Hivyo mtu anapojichua mara kwa mara anasababisha hizo kemikali zitolewe kwa wingi na hivyokuathiri hiyo mifumo pamoja na medulla ambayo ni sehemu ya ubongo ianyotunza kumbukumbu.

Kushindwa kufanaya kazi nzito kwa kutumia akili au mwili, kwa sababu misuli inakuwa imesinyaa mda wote.

Hali kadhalika mtu mwenye tabia ya kujichua sana huweza kunyonyoka nywele au kuwa na kipara, hii ni kwa sababu mtu anapojichua mara kwa mara anasababisha uzalishwaji mwingi wa “ Dehydrotestosterone hormone” (DHT) ambayo inaathiri ukuaji au utoaji wa nywele.

Kujichua ni tabia ambayo huweza kufika wakati ikawa kama ulevi na hivyo kumfanya mhusika akapunguza uthamani wa tendo la ndoa na baadaye kukosa kabisa hamu ya kushrirki tendo la ndoa na mwanamke na hata akishiriki tendo la ndoa na mwanamke hawezi akawa na msisimko kama anaoupata anapokuwa akijichua.

Unapokuwa na maumivu ya mgongo/kiuno na misuli ni dalili au matokeo ya kujichua .
   
Kutokana na madhara hayo machache ni vyema kama unatabia hii ukaiacha mara moja kwani ni hatari kwa afya ya mfumo wa ubongo na mwili kwa ujumla na kama unashida hii ni vyema ukawahi hospitali au pia unaweza kufika Mandai Herbal Clinic ambacho ni kituo cha tiba asili za mimea na matunda kilichopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam na utapata ushauri zaidi namna ya kuachana na tabia hiyo mara moja na dawa endeapo tayari utakuwa umeanza kupata madhara.
 

Pata nafasi ya kuwasiliana na Dk Mandai kwa simu namba, 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com.     


No comments:

Post a Comment