Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 3 March 2015

IFAHAMU HAPA TIBA YA JUISI YA KAROTI

Kuumwa macho ni ugonjwa unaoshambulia utando mwembamba unaofunika mboni ya jicho na chini ya kope 'eyelids’ za macho.


Mtu anapopatwa na tatizo hili la macho mwanzoni macho huwa mekundu pamoja na kuwasha na baadaye yanweza kuanza kutoa machozi na endapo tiba haitapatikana mapema macho huweza kutoa tongotongo.

Aidha, mtu anapopata tatizo hili pia huweza kujikuta akiamka macho yakiwa yameziba kwa sababu ya kugandamana na tongotongo , huku ugonjwa huu ukiwa ni  rahisi sana kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine na chanzo chake ni  bakteria na virusi 

Ugonjwa huu unaweza kutibika kwa kutumia karoti au dafu, lakini ni vizuri ukamuona daktari kwanza kabla ya kutumia tiba ya aina yoyote ili kuthibitisha aina ya ugonjwa kwanza.

Hapa Mandai Herbal Clinic kutoka kwa mtaalam wa tiba asili Dk Abdallah Mandai anasema kuwa endapo utatumia karoti unachotakiwa kufanya ni kutengeneza milimita 300 za juisi ya karoti kisha changanya  na milimita 200 za juisi ya spinachi, kisha kunywa juisi yote unaweza kufanya hivyo mara mbili kwa siku kwa kipindi cha muda wa siku nne hadi saba.

Ikiwa unasumbuliwa na magonjwa sugu unaweza kukutana na Dk Abdallah Mandai sasa na ukapata ufumbuzi wa matatizo yako, kliniki ipo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam na inaitwa Mandai Herbal Clinic au unaweza kupiga simu namba  0758 163 818, 0672 060 006, Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment