Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 9 March 2015

IFAHAMU NJIA HII YA KUZUI DAMU KUTOKA PUANI
Matukio ya kutoka damu puani mara nyingi hujitokeza kwa baadhi ya watu , tatizo hili mara nyingi husababishwa na mipasuko midogo ya mishipa ya damu ndani ya pua inayosababishwa na kujeruhiwa au hali ya msukumo wa juu wa hewa , mzio (allergies) wakati mwingine huwa ni madhara yatokanayo na madawa.

Kwa ujumla tatizo hili huwa halina maelezo kamili ya chanzo chake, lakini watu wenye msukumo wa juu na wa chini wa damu huwa na nafasi kubwa ya kupata tatizo hili.

Moja ya tiba ya kuzui kutoka kwa damu puani ni pamoja na majani/ mbegu za embe. Tiba hii ni kutengeneza juisi ya majani ya mbegu ya embe  kisha mgonjwa atatakiwa alazwe chali kisha weka matone matano ya juisi hiyo katika kila pua.


Hali kadhalika nusu glasi ya juisi ya majani au mbegu ya embe inaponywewa ni dawa nzuri ya kuzuia kutoka damu puani.

Unaweza kufika Mandai Herbalist Clinic ili upate suluhsho la magonjwa mengine yakiwemo yale sugu kwa kutumia tiba asili za mimea na matunda, kituo chetu kipo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. Pia unaweza kuwasiliana na Dk Mandai kwa simu namba 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com.   

No comments:

Post a Comment