Advertisement

Advertisement

Shop

Shop

Mixer

Mixer

Friday, 13 March 2015

JARIBU KUJIBU MASWALI HAYA NA USHINDE ZAWADI KUTOKA MANDAI HERBAL CLINIC1. Tuambie unafahamu nini kuhusu Mandai Herbal Clinic?

2. Tuambie namna ya kuweza kufika Mandai Herbal Clinic.

3. Je, umewahi kufika Mandai Herbal Clinic? kama jibu ni ndio tuambie taratibu 3 unazozifahamu mara unapofika Mandai Herbal Clinic na kama jibu ni hapana basi wewe utatuambia kama uliwahi kumsiki.liza Dk Mandai kwenye chombo chochote cha habari yaani Redio au Tv na ilikuwa siku gani na saa ngapi?


foxyform


 Mandai Herbal Clinic inaendelea kukukumbusha kwamba endapo unasumbuliwa na magonjwa mbalimbali yakiwemo yale sugu unaweza kufika kituoni kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam na utapata suluhisho la matatizo yako. Pia unaweza kuwasiliana na Dk Mandai kwa simu namba 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com. 

No comments:

Post a Comment