Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 11 March 2015

JE, ULIKUWA UNAYAFAHAMU HAYA MENGINE KUHUSU FAIDA ZA ASALI?
Asali ni moja ya chakula kilicho katika mfumo wa kimiminika na imekuwa ikitumiwa na watu wa jamii mbalimbali katika maisha ya kila siku.


Mandai Herbal Clinic hapa inakugusia haya mambo kumi ambayo utaweza kuyapata endapo utatumia asali katika maisha yako.

1.     Asali inasaidia sana katika kutuliza tumbo pamoja na uyeyushaji wa chakula.
2.     Husaidia kutuliza kifua na mapafu
3.     Hulainisha jipo sambamba na kuondoa usaha.
4.     Asali  inatumika pia kama kioshea vidonda kizuri kutokana na uwezo wake wa kuua bacteria.
5.     Asali inapopakwa kwenye vidonda vya wazi hulainisha na kutibu.
6.     Huongeza uzito kwa wale wembamba
7.     Husaidia kushusha shhinikizo la damu.
8.     Asali inapochanganywa na limao na kunywewa katika maji ya uvugu vugu huwa ni dawa ya kupunguza uzito.
9.     Huamasiha matezi kufanya kazi yake vizuri.
10.  Huimarisha glands za tezi (homones) hivyo ni vyema ikatumika mara kwa mara.


 Mandai Herbal Clinic inaendelea kukukumbusha kwamba endapo unasumbuliwa na magonjwa mbalimbali yakiwemo yale sugu unaweza kufika kituoni kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam na utapata suluhisho la matatizo yako. Pia unaweza kuwasiliana na Dk Mandai kwa simu namba 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com.  

No comments:

Post a Comment