Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 16 March 2015

JE, ULIWAHI KUWAZA KUHUSU HII YA UPANDIKIZAJI WA UUME? HEBU KUTANA NA HII KUTOKA AFRIKA KUSINI
Kundi la madaktari wa upasuaji kutoka  nchini Afrika kusini limefanikiwa upandikizaji wa uume wa mwanadamu.


Katika oparesheni hiyo iliochukuwa takribani masaa nane na ilifanyika mnamo mwezi Disemba katika Hospitali ya Tygerberg mjini Cape Town kwa ushirikiano wa Chuo Kikuu cha Stellenbosch.

Hata hivyo, inadaiwa kuwa jaribio la pili la upasuaji huo kufanywa, huku madaktari wakisema  kwamba mgonjwa aliyefanyiwa upandikishaji huo amepona.

Inaelezwa kuwa mgonjwa huyo uume wake ulikatwa baada ya matatizo yaliosababishwa na kupashwa tohara.

SOURCE:BBC NEWS

No comments:

Post a Comment