Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 30 March 2015

JE, UNAFAHAMU KUHUSU KOTIMIRI (PARSLEY) KATIKA TIBA? PITIA HAPA UYAFAHAMU MACHACHE
Pengine  huenda ikawa ni mara yako ya kwanza kusikia kiungo hiki kinachoitwa Kotimiri.


Kiungo hiki kwa lugha ya kigeni huitwa (parsley) hii ni aina ya mmea ambao majani yake na mbegu zake huweza kutumika kama kiungo katika vyakula.

Majani ya kotimiri yamekuwa yakiaminika katika kusaidia kupunguza msokoto wa
tumbo ambao mara nyingi huweza kuchangia mtu  kuharisha.

Pia kiungo hiki huweza kutumika kwa wale ambao hukosa hamu ya kula kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuchochea vimeng’e n yo tumboni na hivyo kuongeza hali ya kuhisi njaa.

Pamoja na hayo mbegu za kiungo hiki pia husaidia kuondoa maji ya ziada mwilini, hivyo ni vyema kiungo hiki kikatumika katika chakula wakati wa kupika au wakati wa kula.

Kiungo hiki huweza kupatikana katika baadhi ya masoko hapa nchini, lakini pia kiungo hiki hupendelewa sana kutumiwa na wahindi


Kwa maelezo zaidi unaweza kufika Mandai Herbal Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam au wasiliana na Dk Mandai kwa namba za simu zifuatazo, 0652 163 838, 0752 163 838. Au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment