Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 5 March 2015

JE, UNAJUA UYOGA NI TIBA YA MAGONJWA GANI ? HAKIKISHA UNAMSIKILIZA DK MANDAI USIKU WA ALHAMISI HII KUPITIA REDIO YAKO UTAYAJUA MENGI KUHUSU UYOGAHakikisha hukosi kumsikiliza Dk Abdallah Mandai Alhamisi hii ya Marchi 5, ambapo atakuwa akisikika LIVE  kupitia Redio Uhuru Fm na leo hii ni atazungumzia namna UYOGA unavyoweza kutumika katika tiba ya magonjwa mbalimbali yakiwemo yale sugu.

Pia wewe msikilizaji utapata nafasi nzuri ya kumuuliza maswali yako Dk Mandai kwa kupiga simu zitakazo tajwa kwenye kipindi pamoja na kutuma ujumbe mfupi wa maneno.


Shamba maalum la uyoga

Lakini endapo unasumbuliwa na magonjwa mbalimbali na unahitaji kufika Mandai Herbal Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam basi unaweza kkuwasiliana nasi kwa simu namba 0758 163 818, 0672 060 006, Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment