Friday, 6 March 2015

JIANDAE KUANZA KUSHINDA ZAWADI KEM KEM KUTOKA MANDAI HERBAL CLINIC
Mandai Herbal Clinic kupitia tovuti yetu ya www.dkmandai.com tunapenda kuwatangazia watu wote kuwa siku chache zijazo tutaazisha shindano maalumu na kutoa zawadi mbalimbali zikiwemo jezi za aina mbalimbali pamoja na zawadi nyingine nyingi ambazo tutazitaja mara shindano hilo litakapo anza. 

Kitu  unachopaswa kufanya kwa sasa ni kuhakikisha unakuwa mdau wetu mzuri wa kutembelea tovuti yetu kila siku kupitia www.dkmandai.com ambapo utapata habari mbalimbali za afya sambamba na namna mimea inavyoweza kuwa tiba ya magonjwa sugu.

Mara shindano hilo litakapoanza utatakiwa kujaza form maalum utakayo iona kwenye tovuti yetu hiyo kisha kuna maswali ambayo ni marahisi utaulizwa na utakapo jibu vizuri basi utapata nafasi ya kujipatia zawadi yako kutoka kwetu. Kwa pamoja tunadumisha tiba asili.

Pia unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0758 163 818, 0672 060 006, Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com ikiwa unahitaji maelezo zaidi.

No comments:

Post a Comment