Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 7 March 2015

JIBU MASWALI HAYA YAFUATAYO NA UJISHINDIE ZAWADI KUTOKA MANDAI HERBAL CLINIC


1. Tuambie unafahamu nini kuhusu Mandai Herbal Clinic?

2. Tuambie namna ya kuweza kufika Mandai Herbal Clinic.

3. Je, umewahi kufika Mandai Herbal Clinic? kama jibu ni ndio tuambie taratibu 3 unazozifahamu mara unapofika Mandai Herbal Clinic na kama jibu ni hapana basi wewe utatuambia kama uliwahi kumsiki.liza Dk Mandai kwenye chombo chochote cha habari yaani Redio au Tv na ilikuwa siku gani na saa ngapi?


foxyform

Ambaye atajibu vizuri maswali hayo atapata nafasi ya kuchagua jezi yoyote ya tibu anayoipenda hapa nchini au nje kisha tutampigia simu.Hivyo hakikisha ausahau kujaza namba yako ya simu.

Huu ni mwanzo lakini tumelenga kutoa zawadi zaidi kadri shindano litakavyokuwa likiendelea hivyo shiriki mara nyingi kujaza form yetu kadri uwezavyo na ni vizuri ukamwambia ndugu jamaa na rafiki kuhusu uwepo wa shindano hili.Kwa pamoja tunadumisha tiba asili na Mandai Herbal Clinic 

No comments:

Post a Comment