Sunday, 15 March 2015

KAMA ULIKUWA UNADHANI MATABIBU WA TIBA ASILI HAWASHIRIKIANI BASI ONDOA WAZO HILO KWA KUSHUHUDIA PICHA HIZI

Kumekuwa na dhana kwamba matabibu wa tiba asili na tiba mbadala huwa ni vigumu kuwakuta pamoja wakibadilishana mawazo na kushirikiana katika taaluma hiyo lakini picha hizi huenda zikaondoa dhana hiyo.


Hii ilikuwa ni Jumamosi ya Marchi 14, 2015, ambapo kamera ya Mandai Herbal Clinic ilifanikiwa kukutana na matabibu hawa mara baada ya kutoka katika kikao chao kilichofanyika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ambapo walikuwa wakijadiliana masuala mbalimballi juu ya taaluma yao hiyo.
Kutoka kushoto ni Dk Hassan Kyauka, Dk Hassan Mangopo, Dk, Abdallah Mandai,Tabibu Zawadi Hussen Abdallah
Kutoka kulia ni Dk Mwaka, Tabibu Zawadi Hussein Abdallah, Dk Abdallah Mandai,Dk Hassan Mangopo, Dk Hassan Kyauka
Kutoka kulia ni Dk Abdallah Mandai, Dk Hassan Kyauka, Dk Hassan Mangopo, Tabibu Zawadi Hussein Abdallah


No comments:

Post a Comment