Thursday, 19 March 2015

KUTOKUNYWA MAJI HUWEZA KUHARIBU FIGO YAKO, ZIPO SABABU NYINGINE 9 HAPA

1.     Kutokunywa maji ya kutosha kila siku
2.     Kutumia chumvi nyingi kupitadi kiwango
3.  Unywaji wa pombe kupita kiasi
4.     Kula nyama mara nyingi
5.     Kubana mkojo muda mrefu
6.     Kutokula chakula cha kutosha
7.     Kuchelewa kujitibu maambukizi madogo madogo haraka na kwa usahihi
8.     Kutumia mara kwa mara dawa za kutuliza maumivu na bila kupata ushauri kutoka kwa wataalam.
9.     Kutumia dawa kwa ajili ya insulin kwa muda mrefu 
10.  Kutopata muda wa kutosha kupumzika
Unaweza kuwa karibu nasi kwa kulike ukura wetu wa facebook uitwao Mandai Herbalist Clinic- mhc  na utapata nafasi ya kufikiwa na kila kitu kinachohusu afya hususani mimea tiba kwa ujumla, fanya hivyo sasa. Au wasiliana na Dk Mandai kwa namba zifuatazo endapo unatatizo la kiafya namba ni 0652 163 838, 0752 163 838, 0682 368 443.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com.   

No comments:

Post a Comment